Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndio lenyewe... Ila lako mbona kama refu? Au mimi sababu nina kitambi
Dada una simu mpya dadaaa.
Kasi ya kujitupia na ui update [emoji23][emoji23]
Kimini hicho yaani linatia aibu.


Nimebadilisha simu yaani nimepoteza namba zote[emoji31]

Ndugu zanguni mwenye namba yangu naomba Unitext ili nipate namba na kusave.
 
Back
Top Bottom