Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,403
- 12,019
Hongera zakeHizo kucha ni za Lenie
Hongera zakeHizo kucha ni za Lenie
Mambo Lenie?Mwambie nashukuru![]()
Seriously,sijui,nipe clue nijue ni kitu gani..af si unajua huku lugha inatofautiana baadhi ya maeneo.
😍😍😍pisi kali
Wewe!!! Hujui kweli?Seriously,sijui,nipe clue nijue ni kitu gani..af si unajua huku lugha inatofautiana baadhi ya maeneo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimaye
Sasa mi hizo njia mi najua zinaitwa "Mengele"..pembeni unakuta kuna majani ya masale..Wewe!!! Hujui kweli?
Ni zile njia za kuingia nyumbani.. Umeelewa sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchaga wa mjini huyoWewe!!! Hujui kweli?
Ni zile njia za kuingia nyumbani.. Umeelewa sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenda zako.
Sasa mi hizo njia mi najua zinaitwa "Mengele"..pembeni unakuta kuna majani ya masale..
Sent using Jamii Forums mobile app






Kwenda zako.
Tangu uzi uanze hii ni picha yako ya kwanza.
Nina takwimu ya tathmini ya uzi tangu umeanza.

..sawa katibu mkuu wa uzi wa jf snap.Wa daslam


Ndiyo mnaita hivyo huko? Ndiyo kunakuwa na masale au yale maua yenye mwiba.
Sent using Jamii Forums mobile app

Yeah hizo njia zinakuwa hivo..ndo maana nikakuambia lugha hazifanani.. ndani ya wilaya moja tu lugha tofauti watu hawaelewani.Wewe sema pekeyako hujui bwana.Yeah hizo njia zinakuwa hivo..ndo maana nikakuambia lugha hazifanani.. ndani ya wilaya moja tu lugha tofauti watu hawaelewani.
Sent using Jamii Forums mobile app