Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
KILA SIKU NA KILA SAA U MWAMINIFU BWANA


Amina🙏KILA SIKU NA KILA SAA U MWAMINIFU BWANA![]()
Tena ulifikirie kwa kina maana ndicho kinachokwenda kutokea🤪🤪Sawa bebito, nitapita benki ku convert hizo cash ila hilo la kunimaliza hadi nauli bado nalifikilia.
Na uzee huu kweli nianze kuwapigia simu wajukuu zangu wanitumie nauli, nione huruma 🙆🙈🏃🏻🏃🏻
Wee heels zilisababisha mie nahis,
Alidondoka kwa bahati mbaya wala si kwa sababu ya kiatu.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app




Ugali kwa kijiko? Wee cc vipi?
Wee tatzo cc mwenyew bonge, akajifanya kuvaa heels why zisimuumbue,heels nimevaa sana,ila kwa sasa poo kwanza!
Halafu kwa nini ulimcheka Dada we mtoto loh!



Muandiko tyuuh, wallah naja unifundishe.


Babuu hii chuma ya nan?
Yoyo weeeeh mate yamedondoka.
Soda hiyo umeharibu kila kitu lol.
Mwenyeji kumbe wee mtu wa North? Ooooh safi sana.








