NduguKarma akisubiria dada yake Heaven Sent aposti picha yake hapa![emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1771437
NakusalimiaWe
sasa huyo binti wa miaka 24 ni nani sasa.we mzee Hebu niletee hizo fweza tafadhali
Ndugu uko poa?Bado kule makapuku mnaposti habari za Kayafa?Ndugu
Acha kujifanya Mhenga wakati hata 31 hujafika [emoji12][emoji85][emoji1322]
Sitak ugomvi na ndugu yangu kwa kweliNdugu uko poa?Bado kule makapuku mnaposti habari za Kayafa?
Karma akisubiria dada yake Heaven Sent aposti picha yake hapa![emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1771437
Anataka nyingi.Mbona ashaiona jamani
Hayo ndo mambo sasa.fanya ufanyavyo wallet isilowane tafadhali.Nimeambiwa leo bahari imechafuka siruhusiwi kupiga mbizi, kesho nitakuwa Zanzibar na fuko langu la Note 🍾🥂🕺🏻
Hafu nyie mnatuchukulia kuchat chat huku JF tunaonekana watoto eee😄😄hatari sanaAcha kujifanya Mhenga wakati hata 31 hujafika 😜🙈🏃🏻
Siku moja tu unakuja kuacha fuko la hela unarudi ulikotoka siku hiyo hiyoKesho nitakuwa Zanzibar, utaniambia unahitaji siku ngapi kumaliza Pension yangu 😜😜🏃🏻
Nakusalimia Lee...Nakusalimia
Zmefika msalimie mt. AnnaNakusalimia Lee...
Yuko huku nimemuona.mwite ataitikaZmefika msalimie mt. Anna
@Saint Anne nakusalimiaYuko huku nimemuona.mwite ataitika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mie na walimu wakali ndo km mabest yaan,Usijali
Andaa daftari la mwandiko..ila ujitahidi kuwa mvumilivu maana mimi ni mkali balaa[emoji23]nadhani ningekuwa mwalimu huko shule wanafunzi wangekuwa wanalia.
Heshima yako boss wangu[emoji120][emoji2320]@Saint Anne nakusalimia
AiseeHii ni kwa wahenga sie tu kuweza kukumbikia enzi [emoji3][emoji3][emoji3]
Akina Noelia Nuzulati Saint Anne Chakorii Karma Heaven Sent hawawezi elewa lolote 😛😛
Ninapata Tabu Moyoni Mwangu Mimi Kwa Kweli,Nimekupenda Wewe Lakini Hunijali Mamaa, Tumekuwa Sisi Wawili Kama Sinema Hapa Nyumbani Kwetu Kila Siku Kelele, Lakini Kwa Vile Eeh, Tunaishi Hapa Kwa Wazazi Wako, Mwenye Sauti Ni Wewe, Naogopa Fedheha Mama Uni Eeh Naona Aibu Kweli Mpenzi Hapa Ni Kwa Wakwe Zangu Sisemi Lolote Fanya Upendavyo.
Lakini Kwa Vile Eeh Tunaishi Hapa Kwa Wazazi Wako Mwenye Sauti Ni Wewe Eeh , Naogopa Fedheha Mama Uni Eeeh, Naona Aibu Kweli Mpenzi, Hapa Ni Kwa Wakwe Zangu Sisemi Lolote Fanya Upendavyo.
Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaa X2(Aibu),
Ninaporudi Kazini Majirani Huzima Redio Ili Wasikilize Tunavyozoza (Aibu), Wametupachika Majina Wewe Pwagu Na Mimi Pwaguzi Kwa Vile Imekuwa Ni Mazoea. Ingawa Nimekuoa Kwa Pesa Na Pendo Langu Eeh Tabia Zako Zimenishinda Aah Nasikitika.
Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaa X2,
Ninaporudi Kazini Majirani Huzima Redio Ili Wasikilize Tunavyozoza, Wametupachika Majina Wewe Pwagu Na Mimi Pwaguzi Kwa Vile Imekuwa Ni Mazoea, Hajulikani Nani Mke Ndani Ya Nyumba Yetu, Hajulikani Nani Mume Aah Nasikitika.
Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaaa X2
CC
Mshana Jr
Mimi utakimbia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mie na walimu wakali ndo km mabest yaan,
Kwa hilo usijari.