Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Kuna mtu aliweka picha sijaona[emoji2296]Hayawee! Imetolewa lakini nna bahati mie[emoji108]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kuna mtu aliweka picha sijaona[emoji2296]Hayawee! Imetolewa lakini nna bahati mie[emoji108]
Haha, anajijua
Usijali, ntakushow
Oh kumbe unayo[emoji2960]Usijali, ntakushow
Duuuh!!!
[emoji120][emoji120][emoji120]Ahsante Mkuu kwa haya mawaidha.
Naendelea kusoma the slides, zinanijenga!
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]heels nimevaa sana,ila kwa sasa poo kwanza![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna siku bhana tupo home, cc alivaa heels due kwa mtoko, sasa ile ashuke ngazi kutoka nje, nashangaa mtu chini, wallah nilishindwa kujizuia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilicheka mno tangu siku hiyo havai tena, na nikiona mtu kavaa heels nachekaga tyuuuh, nakumbuka kwa cc.
Wewe uyooo!!!
Pole kwa kuuguzaShe is doing good todayView attachment 1754413
Thank youuuuuPole kwa kuuguza
Nataka nikushawishi...ukikataa nakuloga[emoji3590]View attachment 1754937
Duuuh una moyo. Ila pole asee, hiyo picha na clip ndio itaendelea kukupa machungu.Hapana Mkuu, nilikuwa bado sijamuoa.
Hii ni picha(screenshot) akiwa katika vazi la harusi yake.
Niliipata kupitia rafiki yake wa karibu ambaye nilikuwa na mawasiliano naye ya karibu.
Actually, rafiki yake ndiye aliyekuwa akinipasha habari kuhusu maandalizi ya hii ndoa hadi ndoa yenyewe.
Shuhuri ilipoiva, rafiki yake alinitumia a short video clip iliyozima ndoto zangu zote juu ya huyu binti. Ni video clip iliyoonesha binti amevalia that wedding dress na akiwa katika hali ya furaha sana. Kupitia hiyo video clip ndio nilipata hiyo picha kwa kuscreenshot.