Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
😋
Hiyo nili snap chap chap tu
Wacha nitwae kijiko! 🏃🏾 🏃🏾 🏃🏾
ewaaa... 😋View attachment 1755420
Jumapili ya mvua😄
Mimi nataka nionane na wewe ili unipe wali kwa chai,wewe unataka uonane nae ili umfanyie nini?😁😁😁
Fanya kusnap tena chapchapHiyo nili snap chap chap tu
Nimpe soda tamu tamuMimi nataka nionane na wewe ili unipe wali kwa chai,wewe unataka uonane nae ili umfanyie nini?![]()



sipendi soda napenda sparletta
Hamna Mirinda Big
sipendi soda napenda sparletta
kalumbu kwenu kuna kioski nn??
kila siku soda
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app




Nisamehe mama mchungaji
Hata mm naonaNisamehe mama mchungaji
Anataka kuniponza huu jamaa
