Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii ni kwa wahenga sie tu kuweza kukumbikia enzi 😀😀😀
Akina Noelia Nuzulati Saint Anne Chakorii Karma Heaven Sent hawawezi elewa lolote 😛😛

Ninapata Tabu Moyoni Mwangu Mimi Kwa Kweli,Nimekupenda Wewe Lakini Hunijali Mamaa, Tumekuwa Sisi Wawili Kama Sinema Hapa Nyumbani Kwetu Kila Siku Kelele, Lakini Kwa Vile Eeh, Tunaishi Hapa Kwa Wazazi Wako, Mwenye Sauti Ni Wewe, Naogopa Fedheha Mama Uni Eeh Naona Aibu Kweli Mpenzi Hapa Ni Kwa Wakwe Zangu Sisemi Lolote Fanya Upendavyo.

Lakini Kwa Vile Eeh Tunaishi Hapa Kwa Wazazi Wako Mwenye Sauti Ni Wewe Eeh , Naogopa Fedheha Mama Uni Eeeh, Naona Aibu Kweli Mpenzi, Hapa Ni Kwa Wakwe Zangu Sisemi Lolote Fanya Upendavyo.

Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaa X2(Aibu),

Ninaporudi Kazini Majirani Huzima Redio Ili Wasikilize Tunavyozoza (Aibu), Wametupachika Majina Wewe Pwagu Na Mimi Pwaguzi Kwa Vile Imekuwa Ni Mazoea. Ingawa Nimekuoa Kwa Pesa Na Pendo Langu Eeh Tabia Zako Zimenishinda Aah Nasikitika.

Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaa X2,

Ninaporudi Kazini Majirani Huzima Redio Ili Wasikilize Tunavyozoza, Wametupachika Majina Wewe Pwagu Na Mimi Pwaguzi Kwa Vile Imekuwa Ni Mazoea, Hajulikani Nani Mke Ndani Ya Nyumba Yetu, Hajulikani Nani Mume Aah Nasikitika.

Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaaa X2

CC
Mshana Jr
 
Tena ulifikirie kwa kina maana ndicho kinachokwenda kutokea🤪🤪
Nimeshawapa taarifa wamesema watanitumia ingawa niliwaambia nina mradi nakwenda kuanzisha Zanzibar hivyo ili nipate faida ya kueleweka lazima Capital iwe kubwa hivyo pension pakee haitoshi(Wangejua kuwa nakuletea wewe hiyo pension sijui kingetokea nini). Kwahiyo uhakika wa nauli ninao kutoka kwa wajukuu 😛 😛

Saivi nimewaandaa wanasheria wangu waniandikie Wosia kabisa, you never know Kizee miye wa miaka 78 kwa binti wa miaka 24 kifuatacho ITV😀😀
 
Hii ni kwa wahenga sie tu kuweza kukumbikia enzi

Hahaha aise huo mwimbo mbona wa juzi sana Mdogo wangu mie muhenga
 
Wakati wimbo huo unatoka wewe haukuwa umezaliwa.

Mwaka 1986 ndiyo umetoka, enzi hizo tunakwenda kujirusha viwanja wa DDC park.

Wakati huo nampeleka Bibi yako pale Kama njia ya kumwomba msamaha, sio nyie mkikoseana mnahama nyumba na kwenda kusimuliana Saloon 😂😂🙈🏃🏻
 
20210501_212254.jpg
 
Hii ni kwa wahenga sie tu kuweza kukumbikia enzi 😀😀😀
Akina Noelia Nuzulati Saint Anne Chakorii Karma Heaven Sent hawawezi elewa lolote 😛😛

Ninapata Tabu Moyoni Mwangu Mimi Kwa Kweli,Nimekupenda Wewe Lakini Hunijali Mamaa, Tumekuwa Sisi Wawili Kama Sinema Hapa Nyumbani Kwetu Kila Siku Kelele, Lakini Kwa Vile Eeh, Tunaishi Hapa Kwa Wazazi Wako, Mwenye Sauti Ni Wewe, Naogopa Fedheha Mama Uni Eeh Naona Aibu Kweli Mpenzi Hapa Ni Kwa Wakwe Zangu Sisemi Lolote Fanya Upendavyo.

Lakini Kwa Vile Eeh Tunaishi Hapa Kwa Wazazi Wako Mwenye Sauti Ni Wewe Eeh , Naogopa Fedheha Mama Uni Eeeh, Naona Aibu Kweli Mpenzi, Hapa Ni Kwa Wakwe Zangu Sisemi Lolote Fanya Upendavyo.

Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaa X2(Aibu),

Ninaporudi Kazini Majirani Huzima Redio Ili Wasikilize Tunavyozoza (Aibu), Wametupachika Majina Wewe Pwagu Na Mimi Pwaguzi Kwa Vile Imekuwa Ni Mazoea. Ingawa Nimekuoa Kwa Pesa Na Pendo Langu Eeh Tabia Zako Zimenishinda Aah Nasikitika.

Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaa X2,

Ninaporudi Kazini Majirani Huzima Redio Ili Wasikilize Tunavyozoza, Wametupachika Majina Wewe Pwagu Na Mimi Pwaguzi Kwa Vile Imekuwa Ni Mazoea, Hajulikani Nani Mke Ndani Ya Nyumba Yetu, Hajulikani Nani Mume Aah Nasikitika.

Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaaa X2

CC
Mshana Jr
Haya niambie umeshafika znz ama Bado uko unaogelea
 
We
Nimeshawapa taarifa wamesema watanitumia ingawa niliwaambia nina mradi nakwenda kuanzisha Zanzibar hivyo ili nipate faida ya kueleweka lazima Capital iwe kubwa hivyo pension pakee haitoshi(Wangejua kuwa nakuletea wewe hiyo pension sijui kingetokea nini). Kwahiyo uhakika wa nauli ninao kutoka kwa wajukuu 😛 😛

Saivi nimewaandaa wanasheria wangu waniandikie Wosia kabisa, you never know Kizee miye wa miaka 78 kwa binti wa miaka 24 kifuatacho ITV😀😀
sasa huyo binti wa miaka 24 ni nani sasa.we mzee Hebu niletee hizo fweza tafadhali
 
Hii ni kwa wahenga sie tu kuweza kukumbikia enzi
Akina Noelia Nuzulati Saint Anne Chakorii Karma Heaven Sent hawawezi elewa lolote 😛😛

Ninapata Tabu Moyoni Mwangu Mimi Kwa Kweli,Nimekupenda Wewe Lakini Hunijali Mamaa, Tumekuwa Sisi Wawili Kama Sinema Hapa Nyumbani Kwetu Kila Siku Kelele, Lakini Kwa Vile Eeh, Tunaishi Hapa Kwa Wazazi Wako, Mwenye Sauti Ni Wewe, Naogopa Fedheha Mama Uni Eeh Naona Aibu Kweli Mpenzi Hapa Ni Kwa Wakwe Zangu Sisemi Lolote Fanya Upendavyo.

Lakini Kwa Vile Eeh Tunaishi Hapa Kwa Wazazi Wako Mwenye Sauti Ni Wewe Eeh , Naogopa Fedheha Mama Uni Eeeh, Naona Aibu Kweli Mpenzi, Hapa Ni Kwa Wakwe Zangu Sisemi Lolote Fanya Upendavyo.

Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaa X2(Aibu),

Ninaporudi Kazini Majirani Huzima Redio Ili Wasikilize Tunavyozoza (Aibu), Wametupachika Majina Wewe Pwagu Na Mimi Pwaguzi Kwa Vile Imekuwa Ni Mazoea. Ingawa Nimekuoa Kwa Pesa Na Pendo Langu Eeh Tabia Zako Zimenishinda Aah Nasikitika.

Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaa X2,

Ninaporudi Kazini Majirani Huzima Redio Ili Wasikilize Tunavyozoza, Wametupachika Majina Wewe Pwagu Na Mimi Pwaguzi Kwa Vile Imekuwa Ni Mazoea, Hajulikani Nani Mke Ndani Ya Nyumba Yetu, Hajulikani Nani Mume Aah Nasikitika.

Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaaa X2

CC
Mshana Jr
Kweli mimi wa kunifananisha na wadogo zangu?
 
Back
Top Bottom