Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna siku bhana tupo home, cc alivaa heels due kwa mtoko, sasa ile ashuke ngazi kutoka nje, nashangaa mtu chini, wallah nilishindwa kujizuia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilicheka mno tangu siku hiyo havai tena, na nikiona mtu kavaa heels nachekaga tyuuuh, nakumbuka kwa cc.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alidondoka kwa bahati mbaya wala si kwa sababu ya kiatu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23]
ice_2021-04-17-14-11-23-386.jpg


Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom