Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Hujambo Lee..[emoji4][emoji4]
Mzima kabisa
Hujambo Lee..[emoji4][emoji4]
Jambo la kheri Lee.Mzima kabisa
Naendelea poa kabisa Na Hii hali..naona leo mvua iliamua kusimamia kucha.😁😁Wewe waendeleajee na hii hali ya hewa [emoji4]
Anko tuliachana kariakoo jion nahis akapata ban[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chakorii
Huu mguu ni wako, moja kwa moja Zanzibar 🏊🏼🏊🏼🏊🏼🙈Sasa umechagua unaenda kwa mama mchungaji Tukuyu sijui Uyole au unakuja Zenji yakhe
Make Shua wallet hailowani na maji tafadhaliHuu mguu ni wako, moja kwa moja Zanzibar 🏊🏼🏊🏼🏊🏼🙈
Wallet nimeiweka kule mbali kwahiyo haitalowana, ila nimesahau ulisema nije na dollars au Tshs.??Make Shua wallet hailowani na maji tafadhali
Mchumba[emoji3][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444]View attachment 1768797
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Why why honeyMchumba[emoji3]
Mchumba hizi nyimbo unasikiliza?Why why honey
Mbona uko mbali?
Mimi nateseka mawazo juu yako yananitesa[emoji23]
Leo naona bora jua
Kesho naona bora mvua
Uko wapi daktari
Mwenzio ugonjwa utaniuwa
kwenye joto siwezi kaa
Baridi ndo balaa laa
Siwezi kula ingawa nahisi njaa
Chiku Keto&Chid Benz
[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Mambo vipi?
Nazijua zipo kichwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchumba hizi nyimbo unasikiliza?
Ndugu yangu vipSnap it.Show it!
View attachment 1769403
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Snap it.Show it!
View attachment 1769403
Haaaa kumbe[emoji3]Nazijua zipo kichwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Japo sina kwenye simu
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Haaaa kumbe[emoji3]
T shs hizo vipi..njoo la dollar babu wee loh.Wallet nimeiweka kule mbali kwahiyo haitalowana, ila nimesahau ulisema nije na dollars au Tshs.??
Niliomba pia nauli ya kurudi ukumbuke kuniachia, manake pension yote nimekubebea 🙊🏃🏻🏃🏻
Anko frog nakusalimuSnap it.Show it!
View attachment 1769403