Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Full bamboocha naona!
Full bamboocha naona!
😂 😂 😂
Kuna K-Vant? 😂
😂 😂 😂 Haya nichagulie wewe
Ahsante sana mama mchungaji kwa soda tamu taamu



Ahsante sana mama mchungaji kwa soda tamu taamu
Imekosekana "Ginger ale" tu hapo
Huyo @Behavioust acha ateseke na vyura wake![]()



Duh!!Nyumbani zinakaa kabisa creti?!🚶🚶🚶
Mara mojamoja kwa mwaka.Duh!!Nyumbani zinakaa kabisa creti?!![]()
Hii mbona kama vita!😁😁😁