Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
😀😀Haaaa kumbe![]()
😀😀Haaaa kumbe![]()
Ahaaa mchumba
Nazijua vizuri sana hasa Hiphop.
Ila za kuanzia 2010 kushuka nyuma,si unajua mimi muhenga
We ndo mpenzi wangu
We ndo kioo changu
Nikipendeza mtaani we ndo dizaina wangu wangu
Mshauri wangu wangu
Wa nyendo zangu zangu
Nilikuwa namalizia verse
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Salama ndugu yangu,upo mkuu?Ndugu yangu vip
Nipo mkuu, mod walikusalimia auSalama ndugu yangu,upo mkuu?



AminaBeautiful morning
Baridi ishaanza kudemka ndiyo kwanza Mei mosi.
Mungu tutie nguvuView attachment 1769720
Amina kadalaAmina
Kiongozi, kwema hukondugu
kwema kiongozi mkuuKiongozi, kwema huko
Hii wapi mkuuBeautiful morning
Baridi ishaanza kudemka ndiyo kwanza Mei mosi.
Mungu tutie nguvuView attachment 1769720
Kitaa tu huko nimekatiza.Hii wapi mkuu
AmenBWANA AMEWAANGUSHA CHINI WATESI WAKO:USIOGOPE
Isaya 54:17
Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa Bwana, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asema Bwana."
Nakutakia kila la kheri katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani!




bro upo.KinyooooooooongeView attachment 1770069
Nipo bro kaz kaz zinabana kimtindo joyce yuko Poa Sana anachekacheka tu
Sawa bebito, nitapita benki ku convert hizo cash ila hilo la kunimaliza hadi nauli bado nalifikilia.T shs hizo vipi..njoo la dollar babu wee loh.
Kukubakishia nauli inategemea na siku hiyo nitaamkaje😄