Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,175
- 11,244
Hahahahaha asie na dhambi awe wa kwanza kumtupia Mawe[emoji3590]View attachment 1754937
Hahahahaha asie na dhambi awe wa kwanza kumtupia Mawe[emoji3590]View attachment 1754937
Unataka unishawishi kufanya nini?[emoji23]Nataka nikushawishi...ukikataa nakuloga
[emoji4][emoji4][emoji4]Hahahahaha asie na dhambi awe wa kwanza kumtupia Mawe
Wakisema na twende tukaibe....[emoji3590]View attachment 1754937
Pole sana brother, mkono tu na hcho kifua vinanionesha ukali/uzuri wa huyo mwanamke, ikiwa bado cjaona sura.
rafk yake achukue nafasi yakeHapana Mkuu, nilikuwa bado sijamuoa.
Hii ni picha(screenshot) akiwa katika vazi la harusi yake.
Niliipata kupitia rafiki yake wa karibu ambaye nilikuwa na mawasiliano naye ya karibu.
Actually, rafiki yake ndiye aliyekuwa akinipasha habari kuhusu maandalizi ya hii ndoa hadi ndoa yenyewe.
Shuhuri ilipoiva, rafiki yake alinitumia a short video clip iliyozima ndoto zangu zote juu ya huyu binti. Ni video clip iliyoonesha binti amevalia that wedding dress na akiwa katika hali ya furaha sana. Kupitia hiyo video clip ndio nilipata hiyo picha kwa kuscreenshot.
🙏🙏🙏Ni kweli bro, mipango sio matumizi..
Hakuna namna naweza badili ukweli kuwa "I am a loser".
Ahsante Mkuu kwa ushauri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kaluuumbu.....natoa ushauri yakinifu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kalumbuuuuu
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Yaani nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23]kaluuumbu.....natoa ushauri yakinifu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Nasubiri utoke kanisani kwanzaUnataka unishawishi kufanya nini?[emoji23]
Isiwe tu kunywa bia[emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ukiona hujamuoa wewe basi jua, haikuwa stahiki yako,worry not.
Safiii...mchungaji kakosa pesa yako, biashara yake leo kapoteza one customer