cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 118,363
- 193,342
😂😂😂Huyo babu miga bana..!!
Wa vocha ni Mjep bwana ake coca 😹😹😹
😂😂😂Huyo babu miga bana..!!
Wa vocha ni Mjep bwana ake coca 😹😹😹
Uduguu mbona umechachuka sanaa, kulikoniii.😹😹😹😹😹
Babu miga igweeeeeee
Aisee babu miga hataki longolongo ni mwendo wa kujisevia Morena kisha anakuja na pic za wahusika nginja nginja..!! 😹😹😹
Hafungui hadi unione mie, na humpati bila mie.Toto mashaallah! Fungua PM basi
Muda ndo huu jamani njooni uzi upigwe ban kwa muda 😹😹😹Kesho tukiwa off mkinukishe uzi upigwe ban kwanza
😂😂😂 wee muache na heka heka take, afu shem nahisi ananichota hivi yuko mambele kwelii?Uduguu shemeji yako Gwapole ananiponda eti najishaua kumbe mbaya..!! Sema hajakosea kapiga mule mule 😹😹😹
Watu weuweeee!! Ma mchunga ni brand kubwa JF.And that's why niliamua kukaa kimya since then
Watu walinishauri niachane nayo nikaona sio case nikapotezea..
Ila naona still hizi mambo kila baada ya muda zinarudi may be zikitolewa maelezo itasaidia..
Na akili akili za watu wanadhani mi nilipotea humu
Sikupotea, nilikuwa nauguza mzazi mpk anafariki ndo maana sikuwa humu almost a yr ...
Narudi uzi umefungwa🤷♂️napewa story tu ...
Aisee I can't take it anymore
Ila akili za watu wanadhani nilipotea kisa huo upuuzi..
😀😀kumbe mi brand watu wanahangaika
Huyo ni trible mate wangu nilimuita tuje tuoneshe mavitambi yetu huku kwa kilugha 😁Sasa mbona wanaume wanakuomba picha sana kumbe we kidume looh! Id yako nyingine ndio ile unaomba elfu 50 ukafuge vifaranga 10?
Wog ukiamua kuyamwaga yamwage bana hizi unatoa kama preach hai sound kishengesha ujue..!! 😹😹😹Imefika mahali unaogopa kukutana na mtu kisa utaambiwa umelala nae
Yaani mtu mzima ila nashangaa
Mi humu nina mtu 1 tu ndo ananijua ndani nje
Ni mwanaume na nusu ...im proud of him, hana kelele
Yaani jmn anaekula hana kelele mwingine ss kupata time ya kuonana imekuwa nongwa
Si upuuzi na upumbavu hana mbele wala nyuma
😂😂😂Kesho tukiwa off mkinukishe uzi upigwe ban kwanza
Nasijila kumbe via una uswaswadu 😁Maskini ndo nakuja mtandao dadeki ulikata Anyway natumia kiswaswadu siwe9 ku selfka
Nimepitwaaacocastic
Steve Rogers
binti kiziwi
Seran
Chivundu
Christine_1
spidernyoka
Usiku mwema nipumzishe zangu fuvu
Watupe umbea bana weeh 😹😹😹Wanatangazanaga humu
Moja ya sababu ya kukaa guard zipo juu ni hio
Mwana anapewa papa siku wakitibuana anayamwaga
Watu wanajuana, wanafahamiana, watu wanakulana humu ndani, polee yako km uko very anonymous.Sijui kwanini watu wanakua na flow za namna hii.
Asilimia 99% humu hatujuani haina haja ya baseless accusations.
Kwanini umchafue mtu ilihali humjui wala hata kuwahi kumuona ? Inafikirisha sana.
Brand kama brand 😹😹😹And that's why niliamua kukaa kimya since then
Watu walinishauri niachane nayo nikaona sio case nikapotezea..
Ila naona still hizi mambo kila baada ya muda zinarudi may be zikitolewa maelezo itasaidia..
Na akili akili za watu wanadhani mi nilipotea humu
Sikupotea, nilikuwa nauguza mzazi mpk anafariki ndo maana sikuwa humu almost a yr ...
Narudi uzi umefungwa🤷♂️napewa story tu ...
Aisee I can't take it anymore
Ila akili za watu wanadhani nilipotea kisa huo upuuzi..
😀😀kumbe mi brand watu wanahangaika
Mtajee huyo anaekula hana kelele, tumpe maua yakee, aloooohImefika mahali unaogopa kukutana na mtu kisa utaambiwa umelala nae
Yaani mtu mzima ila nashangaa
Mi humu nina mtu 1 tu ndo ananijua ndani nje
Ni mwanaume na nusu ...im proud of him, hana kelele
Yaani jmn anaekula hana kelele mwingine ss kupata time ya kuonana imekuwa nongwa
Si upuuzi na upumbavu hana mbele wala nyuma
Tetemeka ila usianguke, ubuyu wako ni muhimu sana. Plz ma mchunga.Aisee acha nitulie kwanza naona natetemeka
😹😹😹 Unataka kuongea nini na pisi mbovu GToto mashaallah! Fungua PM basi
Mercitres bien
Nini?........
NKINDEDINasijila kumbe via una uswaswadu