Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 32,585
- 93,538
Eka hicho kiuno hapa basiWakina nan hao?
Eka hicho kiuno hapa basiWakina nan hao?
Weweee kiuno tenaEka hicho kiuno hapa basi
Sasa unataka kuweka niniWeweee kiuno tena
Mhmm!! Lini hiyo mbona sikumbuki ndugu investor 😹😹😹Win-one niliona lamomy anamsifia kumbe kweli ni toto nzuri😀😀😀
Mimi ni mwanaume arrijal sema six pack usiseme kiuno yuno?Sasa unataka kuweka nini
😹😹😹 Kwamba mi friji langu bovu?Unavyomjua yule ana siri?
Sasa mbona wanaume wanakuomba picha sana kumbe we kidume looh! Id yako nyingine ndio ile unaomba elfu 50 ukafuge vifaranga 10?Mimi ni mwanaume arrijal sema six pack usiseme kiuno yuno?
Kabisaa👌🏽Kama una stress usiku na unataka muda uende zama selfika 😂😂😂🙌🙌🙌
😹😹😹😹 Mnatuchamba sasa..!!Wabovu wapo lakini ni kweli
😹😹😹😹nasikia wenye hasira hasira,wanaopenda ugomvi ,ukiona hivyo ujue yeye huyo
Hadi wewe ulikuwepo humu unaview pic?Unasema ukweli maana kuna mtu anajishaua sana nilimwangalia huku nikasema, aishi....
Uduguu shemeji yako Gwapole ananiponda eti najishaua kumbe mbaya..!! Sema hajakosea kapiga mule mule 😹😹😹Subirii wakati mwingine.
umeamkaje😹😹😹😹
Em wekeni pic zao tuone..!!
😹😹😹😹Habari kwa ufupii,
Km unajijua ulikua unajiprosooo na bwana wa JF humu ndani, habarii ikufikie, mwenzio ubuyu kaumwaga kwa wambea na upo km ulivyo. Hadi picha zako za naked kwa juu. Zipoo.
Yaani Ubuyu upo na tunatambaa naoo, kaa kimastaa mwaegoo.
Waleteeeeeeeee katiiiiii!! 😂😂😂
Alamskiiiiii.
Salama shem za kwako?umeamkaje
😹😹😹😹 Wee nawe mmbea mwenzetu ulijuaje?Alijizolea umaarufu mkubwa...na masista du wengi aliwatembezea sana mkong'oto hapa!