Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹😹
Halafu mwenyewe hata hajui maskini anajianika wakati tunamjua in and out 😹😹

JF ya kingese sana nachoka mimi..!!
Na ana mdomo alitema shit sana kwenye uzi mmoja natamani ajae kwenye mfumo wangu..!!
Taratibu uduguu, usiwe na paparaa, mbona unataka kuunguza sript.
😂😂😂
 
Uduguu mbona umechachuka sanaa, kulikoniii.
😂😂😂
Babu miga mbona sio shida zake 😹😹😹
Nilicheka alivyosema ananijua eti mimi nakaa buza 😹😹

Halafu hizo taarifa kampa mwendawazimu gani sijui na yeye kamtafuta wog kumuulizia taarifa zangu..!!

Nyie mataahira wote mnaotaka kunifahamu njooni kkoo lakini mje na pesa za kununua vijora ndo twende sawa..!! Si mnajua mi mkinga 😹😹😹
 
😹😹😹😹 Nimepitwa pitwa vipi kwa wog tena?

Anataka kuchachua uzi tena? Woyoooooo 😹😹😹😹

Awahi watunza mafile tukiwepo..!!
Si ndioo, atuletee huo ubuyu tuumumunyee.
😂😂😂
 
😂😂😂 wee muache na heka heka take, afu shem nahisi ananichota hivi yuko mambele kwelii?
Maana sielewi elewii.
😹😹😹 G ni mjinga mmoja hivi anajifanya anaplay low key.. yupo mambele kweli lakini ni kitengo Huyo..!!
 
Back
Top Bottom