Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nothing is powerful enough to confuse you unless you give it that power.

Isihangaike ku-proof kwa hao wajinga utawapa millions reasons za kujiona wao ni better.

Waache tu maybe ndo kula yao hiyo .
And that's why niliamua kukaa kimya since then
Watu walinishauri niachane nayo nikaona sio case nikapotezea..
Ila naona still hizi mambo kila baada ya muda zinarudi may be zikitolewa maelezo itasaidia..

Na akili akili za watu wanadhani mi nilipotea humu

Sikupotea, nilikuwa nauguza mzazi mpk anafariki ndo maana sikuwa humu almost a yr ...
Narudi uzi umefungwa🤷‍♂️napewa story tu ...
Aisee I can't take it anymore

Ila akili za watu wanadhani nilipotea kisa huo upuuzi..

😀😀kumbe mi brand watu wanahangaika
 
Nimekuta vinotification hapa nikajua picha teletele. Umeanza lini kua na maneno matupu bila picha
 
Back
Top Bottom