Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 32,646
- 93,647
Yani nishakasirika leo nmekula vitu vingi halafu sasa hivi tumbo linadai🤦🏽♀️Hebu ulale sahiii unataka kusemaje?😂
Yani nishakasirika leo nmekula vitu vingi halafu sasa hivi tumbo linadai🤦🏽♀️Hebu ulale sahiii unataka kusemaje?😂
Polee Mungu ana watu😀😀😀😀 eeh acha nikuseme tu
Aisee kuna watu bora ht kijana wa 15
Wakubwa ila hawana akili sijui ndo afya ya akili
Umekuja huku au umeenda kule🫢Leo nimelala mchana, sababu nilikuwa safarini usiku wa jana.
Ili niombe vzr ni mhim kutema nyongoMama hebu twende tukafanye maombi tulale! Haya sio mambo yetu😎
Clean nyeupe kama sufiIli niombe vzr ni mhim kutema nyongo
Niende mbele za Mungu clean
Ma mchunga em njoo PM kwanza, ujue nisha chachawa, mie ndio nitakupangia files vizuri, unajua hiyo kazi naiweza na naimudu.Yaani acha nisimalize
Hujui upumbavu unaoendelea humu mzee baba😅Unawaza sasa hawa watu wa Jf mbona mnawapa umuhimu
Ktk ubora wako😃Ma mchunga em njoo PM kwanza, ujue nisha chachawa, mie ndio nitakupangia files vizuri, unajua hiyo kazi naiweza na naimudu.
Kesho tukiwa off mkinukishe uzi upigwe ban kwanzaMa mchunga em njoo PM kwanza, ujue nisha chachawa, mie ndio nitakupangia files vizuri, unajua hiyo kazi naiweza na naimudu.
Mnoo
Who cares au una mume humu au baba?Hujui upumbavu unaoendelea humu mzee baba😅
Kuna upuuzi ukiuendekeza humu unachafuliwa sio poa!
Kabisa mama, unamnyoosha kijana vzr tu unaenda zako mbele za bwana ukiwa na moyo safi!💥Ili niombe vzr ni mhim kutema nyongo
Niende mbele za Mungu clean
Mwenye uwanja wake niko hapaa, tabu inakukuta wapiii??Ktk ubora wako😃
Shenzi zakeHujui upumbavu unaoendelea humu mzee baba😅
Kuna upuuzi ukiuendekeza humu unachafuliwa sio poa!
Mume napeleka wapi humu kumejaa upuuzi mwingi huwezi hata kuwa na rafiki humu 🚮Who cares au una mume humu au baba?
😃ndioClean nyeupe kama sufi
Up rastacocastic
Steve Rogers
binti kiziwi
Seran
Chivundu
Christine_1
spidernyoka
Usiku mwema nipumzishe zangu fuvu
Nasubiri zamu yangu nikunyooshe mtu! Uzuri balaa langu analijua vzr sio hizi comments za kichwara humu! Ni vitendo tu atasimlia washenzi wenzie wote kama yule wa juzi!Shenzi zake
Sijui lengo ni ku-archive nn
I don't get it
Sijui kwanini watu wanakua na flow za namna hii.Hujui upumbavu unaoendelea humu mzee baba😅
Kuna upuuzi ukiuendekeza humu unachafuliwa sio poa!