Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 32,639
- 93,624
Aanh kumbe! Nikajua pisi kali yako bana😂Huyo ni trible mate wangu nilimuita tuje tuoneshe mavitambi yetu huku kwa kilugha 😁
Aanh kumbe! Nikajua pisi kali yako bana😂Huyo ni trible mate wangu nilimuita tuje tuoneshe mavitambi yetu huku kwa kilugha 😁
chukua simu ya mkeo upige pic 😹Nina nokia ya tochi sasa hivi mshikaji wangu, siwezi kula selfie.🤣😂
Duhh kazi unayo!Hapana id yangu ingine ni ile ya sikio la muazini ndo nikafungua hy
Baadae nitakuwekea usijali 😹Akili zako weee mbili kasoro ujue 😹😸
Hebu nione hizo heels kwanza kitambo sana!
Ushapitiwa.Washroom 🥲
Shepu nitoe wapi wee Lamomy??? Usiamini picha zangu walai!!
Aanh jamani🥹Ushapitiwa.
😄😄😄 mimi humu nishachelewa kila pisi kali ina mwenyewe ukiwepo wewe jana nimekuona una waist la hatariiiAanh kumbe! Nikajua pisi kali yako bana😂
Siyo kuongea bali kuomba K na mimi niifaidi, au hutaki.😹😹😹 Unataka kuongea nini na pisi mbovu G
Hakuna kitu kinaumiza kama kuona mtu unamchokoza weeeeee unamtafuta weee anakupotezea it hurts a lot.And that's why niliamua kukaa kimya since then
Watu walinishauri niachane nayo nikaona sio case nikapotezea..
Ila naona still hizi mambo kila baada ya muda zinarudi may be zikitolewa maelezo itasaidia..
Na akili akili za watu wanadhani mi nilipotea humu
Sikupotea, nilikuwa nauguza mzazi mpk anafariki ndo maana sikuwa humu almost a yr ...
Narudi uzi umefungwa🤷♂️napewa story tu ...
Aisee I can't take it anymore
Ila akili za watu wanadhani nilipotea kisa huo upuuzi..
😀😀kumbe mi brand watu wanahangaika
Shida mie nipo machini, sio majuu!Mchukue udugu wangu akatulie majuu 😹
Umechanganya madesa nini mimi na waist natoa wapi mgongo umeunganikana na kiuno😂😄😄😄 mimi humu nishachelewa kila pisi kali ina mwenyewe ukiwepo wewe jana nimekuona una waist la hatariii
Aweeeh! jana nimekaa hadi saa nane nikiona unavotubless wana mara mbili mbili nikajithibitishia kuwa ndio maana wadau kila kukicha uzi juu yakoUmechanganya madesa nini mimi na waist natoa wapi mgongo umeunganikana na kiuno😂
Sa wee jichanganye eti unasimulia mtu pm kuna watu hatuna siri sisisisi unaetusimulia ndowakwanza kukusambaza nakukujadili pm nakwingineko. Kama unalivaa likabili wewe mwenyewe .Ktk ubora wako😃
Pigo zako tu zinanimaliza mamchu una mwili mzuri sana nanguo zako zinakaa penyewe!Acha tu
Najiuliza ni ni brand ukute sijui eti jmn
Hii picha nimepiga jana