Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Thubutuuu, hunipatiii 😂😂😂

Kuna mwenzako anatamani kunilipua, afu bomu ninalo mie, yaan mlipuaji yeye, bomu ninalo mie, wee huogopiii?
😂😂😂
😹😹😹😹 em nipe hilo bomu nikushikie litakulipukia coca..!!
 
Mama mtumishi kuna nini tenaa?
Mbona ghaflaa sanaa? Hayaa tuletee huo ubuyuu wambea tusaule saule.

Uzii unataka kuwaka tena, hakuna kupoaaa.
Alooooh, 😂😂😂
😹😹😹😹 Nimepitwa pitwa vipi kwa wog tena?

Anataka kuchachua uzi tena? Woyoooooo 😹😹😹😹

Awahi watunza mafile tukiwepo..!!
 
JF Ukiwa serious hasa selfika, kitakulambaa, wee nata na beat tembea mbele mwendo wa ngiri, usigeuke nyuma.
😂😂😂😂
JF ni kichaka chenye wanyama wakali..!! 😹😹😹

Olu in olu kuna shengesha la mama mchungaji wog limenipita au bado nitulie nijionee..!!
 
Mwenyewe sikutegemea 😥
Sema na mdomo wake lazima niushadadie ubuyu wake, alinichefua kweli kipindi kile..!! 😹😹😹😹

Watu wanaojifanya ma innocent humu ni wauzaji wakuu..!! 😹😹
Uduguu, unataka kukiwashaa mapema hivii?
Aaah taratibuu 😂😂
 
Majiraniiiiiiiiiiiiiiiiii hukuuuuuuuuuuu!!
Haya ndio mambo nayoyapendaa,
Leteee vituuu ma mchungaaaa!!!

Watu weuweeeeeeeee, watu waleee waleeee.
😂😂😂😂
Hivi nimepitwaje uduguu? 😹😹😹
Humu jana kuliwaka?
Em nismaraizie kwanza..!!
 
Back
Top Bottom