Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,824
- 9,476
Hahaha hapo ilikua unajikuta nani vile kwani/ulikua unamuambia nini coca.Leo nataka nikubless tu laaziz au sio? 😹😹
Njoo tule safari, mana kuna mtu alisema eti celeb wa Nigeria sio mimi. Nilicheka sana.!!
Sasa nimeamua kuweka pic yenye chupa wa bia la nyumbani kabisaaaa
Oyaa nimekubali Leo mchuchu
Umetisha sana, mpaka vishimo ndo viugonjwa vya chino hivo