Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,968
- 96,023
Mmbea mwenzenu nipewe pic basi 😹😹😹Hizo picha hata mi zilishanifikia. Inasikitisha!
Mmbea mwenzenu nipewe pic basi 😹😹😹Hizo picha hata mi zilishanifikia. Inasikitisha!
Huyo babu miga bana..!!Si yule jamaa alikuwa akijinasibu ana hela za kwenye madini sijui akaanza kugawa vocha? Na alileta kizaazaa aliposema eti ana mkosi maana kila demu anayemla huyo demu ni lazima afe? 😳😳
Kwanini unanionea bure? Mimi sijawahi kuona picha zako ujueHadi wewe ulikuwepo humu unaview pic?
Kwahiyo unaniponda G 😹😹
Mwenyewe sikutegemea 😥😂😂😂 sijui wao wanao waamini wanaume wa JF tena wanao fly humu.
Wengi wao wapo kuwachora wanawake tu, wanawatumia then wanamwaga ubuyu na evidence kwa wambea.
Ila huyu member sikutegemea, ni kilaza kiasi hiki, anaonekana yuko intellectual and brilliant, kumbe daah.
Nachoka mie,
Mi pisi mbovu kweli hujakosea lakini sio vizuri kusema ukweli… nimekupa hiyo tbtKwanini unanionea bure? Mimi sijawahi kuona picha zako ujue
Toto mashaallah! Fungua PM basiMi pisi mbovu kweli hujakosea lakini sio vizuri kusema ukweli… nimekupa hiyo tbt
Haya niteke sasa mafwele 😹😹
View attachment 3673063
tres bienSalama shem za kwako?
😹😹😹😹😹Mipira yake ilikuwa Audi, Rangers na BMWs. Na uwanja wake wa vita ulikuwa Morena Hotel Msamvu Moro.
........Mi pisi mbovu kweli hujakosea lakini sio vizuri kusema ukweli… nimekupa hiyo tbt
Haya niteke sasa mafwele 😹😹
View attachment 3673063
Babu miga hana kazi mbovu 😹😹😹Unamsemea Babu miga? Yule hela anazo, na migodi kweli ipo, afu sio mchoyo ni mtoaji, sema ana tabia mbaya sana ya udhalilishaji, hasa akikukuta limbukeni na kichwani empty.
😂😂😂😂
😹😹😹😹 Yule jamaa sasa hivi karudi kwa ids mpya na anawanasa sana chicken heads wetu wa hapa selfika na nna uhakika 💯 percent anahusika na hii connection mpya..!!Alikuwa na majigambo hana siri. Alikuwa anaweka picha hapa hapa
Huyo wige nasikia alikuwa hb la kwenda na kuna pisi alizipiga humu mpaka nyingine anazikataa yeye..!! 😹😹😹Kila siku asubuhi, ma boss walikua wengi humu, babu miga, Wige, mjep
Etc.
Ko kila time vocha zinamwagwa hapa.
😂😂😂😂 those days, daah.
😹😹😹😹😹 Chale Huyo sasa hivi anajiita VincenzoPembeni kuna mjomba anasema sjui yupo nchi gan kumbe kigambon
Those days
😹😹😹😹 Mzee Wa ParisMbona yupoo na leo mlikua nae humu.
Si ni huyu Vincenzo Jr
😹😹😹😹JF kila mtu ni elite pia ni successful people na handsome.
Pia kila mtu anamfikisha mwanamke kileleni na kila mtu ana visa.
JF hapa we acha tu mkuu LEGACY zipo za kutosha 😅.
Kuna jamaa mmoja Alisha wahi kuja kuomba ushauri kwamba ka-retire so anataka adondoshe mansion ya 1B ko anaomba ushauri wapi atapata kiwanja.
Nlicheka siku nzima ile thread na jamaa yuko serious nkasema yeah watu ni maDONE sana humu 😅.
😹😹😹😹Mimi nlivojoin nkakuta watu wanabrag humu nikaamini mgonga ulimbo ni mimi peke yangu
Kuna siku mwana mmoja alianzisha uzi amekwama kodi nadhani nikamchek Pm nikamsort sasa kama kuappreciate akaanzisha uzi wa kushukuru
AKANIMENTION BUIBUI NYOKA Oyaa Pm ni wanaume na wanawake wanaomba hela ndipo nlifunga Pm hadi leo
😍😍😍😍
Mwenyeweee aiseeee 😹😹😹😹
Kumekuchaaaa 😹😹😹Dadiiii!! Ukiwa unaenda majuu tena plz nibebe na mie kaniache huko, ntajichanganya mwenyewe.
😍😍😍😍
Jamani wee uncle mbona una vitru vyangu..!!
Kama nakujua 😹
Hauna office posta kiongozi?