Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,744
- 99,719
Ngoja aje ajitetee na pic😎Hamna lamama chino bonge la mzungu !
Ngoja aje ajitetee na pic😎Hamna lamama chino bonge la mzungu !
Kaka kwema kitambo sana kaka
Nipo naona mda umeenda nahisi umeshalala 😊😅😅husahau? Anyway upo?
Nimemkumbuka Shunie na hii comment yake! https://www.jamiiforums.com/threads/nimemzimia-lamomy.2322544/page-4#post-53280968Asante sana kwa ushauri mwanana. Kwa leo tuishie hapo
Hahah naona mpaka kuna slay queen mzee hapo😎Tunawasubiri wanyange wa JF miaka 20 ijayo wafanye kitu kama hiki
View attachment 3674287
🦦Nipo naona mda umeenda nahisi umeshalala 😊
Nilimuweka huyo dogo Tarimo lakinj akazingua😅Dah mzee kwa miss eyes ulinifanyia roho mbaya sana 😬 yule ndo alikua love of my life 😁🏃🏽♂️
Kwa kujifanya unajua watu😁Nilimuweka huyo dogo Tarimo lakinj akazingua😅
Hawa madogo wa kichagga jau sana mkuu, Bora ungekaa wewe tu. Lakini usijali ipo copy ya miss eyes humu humu nikuweke?
Sawa mkuu, ngoja niangalie pengine pa kumuweka. Sijui wapi sasa doh huyu dogo kawa miyeyusho sanaAanh mi nishapata mwingine huku naishi nae! Nalea kijusi saa hizi, mtafutie mwingine tu😆
Kama nakuona ulivyoshindwa kujizuia🚶♀️🚶♀️Kwa kujifanya unajua watu😁