Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
Nitakuja na risiti kukomesha kuchafuliwa...stay tuned..ni hayo tu...

Nawapenda
Mama mtumishi kuna nini tenaa?
Mbona ghaflaa sanaa? Hayaa tuletee huo ubuyuu wambea tusaule saule.

Uzii unataka kuwaka tena, hakuna kupoaaa.
Alooooh, 😂😂😂
 
🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
Nitakuja na risiti kukomesha kuchafuliwa...stay tuned..ni hayo tu...

Nawapenda
Babes naomba tuongee, tupange mpango kazi.

Uliniokoa kwenye ile issue sitaki kukuacha pekeyako, kama uko tayari tuchat, nipo nasahihisha madaftari na kesho naingia job saa tatu so nina muda.
 
Back
Top Bottom