Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,446
- 9,743
Inawezekana, mimi huo muda wa kuwa mpigaji sina 😂😂 nipo busy sana kwanza nikijaribu kufanya hivyo nitabambwa mapema sanaWapigaji sio watu halisi, hisia zao zinabadirika hata kupitia maandishi yao na pia hawapo wazi juu ya hisia zao.