Inawezekana, mimi huo muda wa kuwa mpigaji sina 😂😂 nipo busy sana kwanza nikijaribu kufanya hivyo nitabambwa mapema sana
Ukiwa mtu halisi, subsequently unakuwa huru, unaleta attention kwa watu halisi wenzio na unakuwa umejitendea haki kama binadamu. Kuwa halisi ni namna nyingine ya kujipenda na kujithamini.