Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,020
- 94,692
Au leo nawe umeonja kitu😁Mambo gani? Mimi pia binadamu kama wengine. 😊
Au leo nawe umeonja kitu😁Mambo gani? Mimi pia binadamu kama wengine. 😊
Oga na helmet😂😂😂 sasa nafunikaje? Navaa zile kofia? Ntajisahau ntajikuta na kofia enyewe ina maji?
SawaPita sasa
Oooh haya sasa, kumekuchaa!!
😂😂😂Oga na helmet
Wako wapiOooh haya sasa, kumekuchaa!!
Mahansamu wanatetemesha uzi leo.
🔥🔥
Mali piru🔥 🥰🙌🏾.
Pita sasa nmeshapitaEeeebanaeeee 🙆♀️🔥🔥🔥🔥 nimekuona Dada hivi umeshushwa??? Ni mcute mno ulivyokuwa age yetu ilikuwaje?
Si unaona kumbe hunijui 😀😀, achana na maneno ya watu nisikilize mimi
Ooooh hatimaye mremboo nimekubamba live.
Tangu nianze kuona pisi za humu sijaona mbovu au TUNAPIGWA 😄 ?Mali piru
Wewee, 😂😂😂Wako wapi
Hizi nyingi sizijui hata mimi leo nmeona mama kali tupu uzi huu una pisiTangu nianze kuona pisi za humu sijaona mbovu au TUNAPIGWA 😄 ?
Bana we! 😅Eeeebanaeeee 🙆♀️🔥🔥🔥🔥 nimekuona Dada hivi umeshushwa??? Ni mcute mno ulivyokuwa age yetu ilikuwaje?
Huyo wa kwenye picha labdaWewee, 😂😂😂
😂😂😂 umeanza vawulensiii.Tangu nianze kuona pisi za humu sijaona mbovu au TUNAPIGWA 😄 ?
😂😂😂Huyo wa kwenye picha labda