binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,707
- 46,670
Ni vuvuu tu! 😅😄 🤣 😂 😆 ni vuvuuu tu
Walahi nimemiss shawarma za syria
Ni vuvuu tu! 😅😄 🤣 😂 😆 ni vuvuuu tu
Kwani wewe hujagundua hilo ? 😄😄😂😂😂 umeanza vawulensiii.
🥰🥰🥰Sikumbukii, ila aloooh wee ni mzuriiiii.
Uko 🔥🔥🔥
Mama ni kwere hiyo midomoUmejionea mama hiyo 🙌🏾
Umeanzaa vawulensii, 😂😂😂Hahahaha, mtu yupo cheka manondo huko.
Then anadai yupo Amsterdam ila JF bhana 😂😂🙌🏾
Nakula mwewe wapi, nipo kwenye Royal V napambana na hali yangu hapa.Yaani una 🛫 tuu huko mambelee, aloooh.
Tisha sanaa.
Ngoja ukija kg nkuhonge migebuka ndo utaelewaHaha Sijaona mbeba dagaa hapa!
😂😂😂
Ndo nataka nipandishe picha za mambele nimdatishe cocasticHahahaha, mtu yupo cheka manondo huko.
Then anadai yupo Amsterdam ila JF bhana 😂😂🙌🏾
Tangu nianze kuona pisi za humu sijaona mbovu au TUNAPIGWA 😄 ?
Hilo limeishaaaa!!Ngoja ukija kg nkuhonge migebuka ndo utaelewa
Nimeirudia hujaona?Shukrani babes, siku ingine ukiweka niite basi 😘
Niliweka asubuhi, na kwa ajiri yako, any time nikiweka nakutagi mwanetu.🥰🥰🥰
Siku ukiweka nitag mwenetu nikuone mdogo wangu.
Thank you! Chivundu☺️Hamna! Kuna mtu hapa nimemkwaza?
Mimi nipo positive siku zote, siwezi ona kitu kizuri nikasema kibaya au kinyume chake. Wewe nimekuona, ni mzuri. That's all. 😊
Unaongeaga na The Monk Ni mtu wangu wa faida, safari za kula, kwenda gereji hadi kwa michepuko yake namsindikizaga.Mkuu wapo wanaotupiga, lakini Seran , binti kiziwi , Chica Gee ni watu halisi. Wa kutupiga wanajulikana. 😊
Sawa kamamaa 🥰Niliweka asubuhi, na kwa ajiri yako, any time nikiweka nakutagi mwanetu.
Mtakoma😁Tangu nianze kuona pisi za humu sijaona mbovu au TUNAPIGWA 😄 ?
🍻Sawa kamamaa 🥰
Mkuu usimsahau mrembo wangu Mallerina na win-one .Mkuu wapo wanaotupiga, lakini Seran , binti kiziwi , Chica Gee ni watu halisi. Wa kutupiga wanajulikana. 😊
Nimekuona umewaka mno na hiyo Suti 🔥Umejionea mama hiyo 🙌🏾