Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 765
- 1,690
Oooh! asante mkuu...... haselfik mtu hapa!Sheria ya humu unaanza wewe sio kusubiri watu
Inategemea sasa km uko desperate ndio utakua vulnerable.Kwenye hao kujuana na wema ndo unakua vulnerable sasa kukutana na watu jau
Wewe kupita aaanhh
Thats mainstayInategemea sasa km uko desperate ndio utakua vulnerable.
Muhimu ni kukaa kimasta tu.
Kitu kizuri kinaonekana tu .😀😀😀urembo gani tena na nimepita robo ya uso?
Rasta, naomba nikuone. 😘😘😀😀😀urembo gani tena na nimepita robo ya uso?
Yess!Thats mainstay
Kitu kizuri kinaonekana tu .
Tunahitaji details chache sana kujua hiki kitu kizuri au sio.
No way we ni pisi 🔥
Ni pisi haswaaa.Mkuu una jicho la mwewe! Mtoto mzuri sana Chica.
😀 macho yako yamekudanganyaKitu kizuri kinaonekana tu .
Tunahitaji details chache sana kujua hiki kitu kizuri au sio.
No way we ni pisi 🔥
Mimi nilishapita mkuu. 😄😀 macho yako yamekudanganya
Asante sana Mkuu 🙏 pita basi
Dadiiii!! Ukiwa unaenda majuu tena plz nibebe na mie kaniache huko, ntajichanganya mwenyewe.
Moya tena😀 macho yako yamekudanganya
Asante sana Mkuu 🙏 pita basi
😀😀😀 sina maajabu nimepita kidevu tuRasta, naomba nikuone. 😘😘
Afu nilianzaa kufuga mwenzio, shida utunzaji. Mie naweka maji kichwani kila siku, kumbe haitakiwi, em nipe tips wee unafanyaje fanyaje?
Wewe tena kutia chumviMkuu una jicho la mwewe! Mtoto mzuri sana Chica.
Rudia nimepitwaMimi nilishapita mkuu. 😄
Wallah nimenyoa tena week iliyopita, ila now nataka niwe serious, tatizo wakati wa kuoga naweka maji kichwani, si unajua mazoea yana tabu.😀😀😀 sina maajabu nimepita kidevu tu
Usiniambie zimekushinda umenyoa 😀? Mbona utunzaji wake ni rahisi tu