Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kila siku asubuhi, ma boss walikua wengi humu, babu miga, Wige, mjep
Etc.
Ko kila time vocha zinamwagwa hapa.
😂😂😂😂 those days, daah.
Pembeni kuna mjomba anasema sjui yupo nchi gan kumbe kigambon
Those days
 
Dawa ni kufunga tu
Nakumbuka nilipokuwa mgeni nilipokea pm nyingi tu, kuna mshenzi akaniijia kwa mazoea nikajua mtu nimechat nalo pm kumbe la ajabu kweli! Tangu hiyo siku nikajua humu psychos hawatokosekana zaidi nikasema nifunge tu!
 
Back
Top Bottom