Signoradellap
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,317
- 149,078
Tupia mamyAanh jamaniš„¹
Tupia mamyAanh jamaniš„¹
BrandAnd that's why niliamua kukaa kimya since then
Watu walinishauri niachane nayo nikaona sio case nikapotezea..
Ila naona still hizi mambo kila baada ya muda zinarudi may be zikitolewa maelezo itasaidia..
Na akili akili za watu wanadhani mi nilipotea humu
Sikupotea, nilikuwa nauguza mzazi mpk anafariki ndo maana sikuwa humu almost a yr ...
Narudi uzi umefungwaš¤·āāļønapewa story tu ...
Aisee I can't take it anymore
Ila akili za watu wanadhani nilipotea kisa huo upuuzi..
šškumbe mi brand watu wanahangaika
Huna bahatišNimepitwaaa
Amekua mwoga sana sikuhizi sijui kwanini!!Mjanja janja sana sasa hivi Lamomy wakati zamani alikua anaingia live bila chenga.
Ana live yake mmoja katoa ishara ya dole la kati; sasa hivi sijui anafeli wapi kuingia live mnywani.
Sema unayaweza!! Umejifunzia wapi. Lini tena sasa!!Hujui upumbavu unaoendelea humu mzee babaš
Kuna upuuzi ukiuendekeza humu unachafuliwa sio poa!
Nilikuwa nimelewa mi mbona mstaarabu sana braza chinošSema unayaweza!! Umejifunzia wapi. Lini tena sasa!!
We changanyikiwa at ur own risk baba mimi sihusikišš¾Aweeeh! jana nimekaa hadi saa nane nikiona unavotubless wana mara mbili mbili nikajithibitishia kuwa ndio maana wadau kila kukicha uzi juu yako
Do the needful kabla uzi haujachafuka mnywani!Sema unayaweza!! Umejifunzia wapi. Lini tena sasa!!
Yani weww umelala jana kwa raha ganiš«¢Tupia mamy
Zama zile mambo yalikua live sasa ivi kina Seran hawataki tulione. Wakati kipinde kile mnywani wewe na mbantu mlikua mnayaachia live! Si ya kwenu Allah kajalia.Amekua mwoga sana sikuhizi sijui kwanini!!
Mwambie Nimemiss kuona dimpoz na location zaukwee!
Kwani Kuna harufu ya damu mnywaniDo the needful kabla uzi haujachafukwa mnywani!
Saii pako shwari mnywani hata wer siunaona hali ya hewa tulivu kabisa.Kwani Kuna harufu ya damu mnywani
Umeanza lini uswahili wee mnywani??? Hadi utoke huko nileo!!Ngoja niingia masjid nikirudi uhakika
Yaani unataka kusema nilipitiwa?Yani weww umelala jana kwa raha ganiš«¢
Mlongo.Watu weuweeee!! Ma mchunga ni brand kubwa JF.
Wee huogopiii?