Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 744
- 1,654
JF kila mtu ni elite pia ni successful people na handsome.Pembeni kuna mjomba anasema sjui yupo nchi gan kumbe kigambon
Those days
Pia kila mtu anamfikisha mwanamke kileleni na kila mtu ana visa.
JF hapa we acha tu mkuu LEGACY zipo za kutosha 😅.
Kuna jamaa mmoja Alisha wahi kuja kuomba ushauri kwamba ka-retire so anataka adondoshe mansion ya 1B ko anaomba ushauri wapi atapata kiwanja.
Nlicheka siku nzima ile thread na jamaa yuko serious nkasema yeah watu ni maDONE sana humu 😅.