Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante hivi wewe ni Ex? Best? Ama maana Selfika na hekaheka mpaka nasahau 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Location Bonyokwa... natia timu
😂😂😂😂😂

Umeanza maswali magumu

Mimi kaka,
Lokesheni inasomeka bonyokwa Kwa kichwa.
 
Asante hivi wewe ni Ex? Best? Ama maana Selfika na hekaheka mpaka nasahau 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Location Bonyokwa... natia timu
Selfica haina maex wa kudumu 😂😂😂
Hapa mimi peke yangu ndo ntatoboa, nyie mkipeana maneno ya mahaba mnarudiana chap
 
Weee usiniuze, nyie ndiyo mnajuana wiki ijayo mahaba motomoto. Huyo ni wako wa kufa na kuzikana.
 
Kweli sie tulipofikia baba Jeni bye bye 😂😂😂
Haina kugeuka nyuma, ila nyie ndio hamuaminiki.!! Ila nimecheka yani tunagombana watu wametulia tuli hawachangii.!! Mmoja kajitokeza kamuunga mkono mbele kamkataa 🤣🤣🤣🤣

Kuna vitu vinachekesha sana, hii tabia sijaizoea selfika… hapa ilitakiwa wawe wanakazia na kuchochea
 
Nani anataka kuumbuka? Kesho tunawakuta babe kibao. Tunawangalia tu, kuumbuka mwisho mwaka jana 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸
 
Back
Top Bottom