Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Who knows? Jf ni kichaka ohh!!
Nikupongeze tu kwa mipango yako na watu wako, ila nakukumbusha hii Nchi sio yenu. Ukijua hili wenzio wanajua lile
Ww ndio maana nakuambiaga hujielewi, na haya mapovu yako na maneno yako ya ajabu ndio yamefanya nikuone mtu wa hovyo sana
Two weeks back ulinitolea povu hivi hivi na maneno mengi kweli kuwa najuana na lovelove mara najuana na antonnia, Mara nashirikiana nao maadui zako kukuhujumu kila ujinga uliandika. Hapo ndio niliona ww ni chenga sana

Leo tena umekuja na yaleyale. Unajistukia sana. Nilikuambia hii tabia yako nitaukomesha maana ulikua unanigeuza jalala
 
Bado hujasema, naona mna mipango mingi sana. Kazi iendelee
Kwanini umekubali siku zote hizo kugeuzwa jalala??? Tena na mtu unayemuita hajielewi??
Kantry unanichosha una lingine, ukiacha mipango yenu ya mtungo na genge lako??
 
Umeona sasa, huku kujistukia kwako ndio uhovyo wako ulipo
 
IMG_20240616_143632_209.jpg

Chatini na Picha 🤗

Hello Sunday 🥂
 
Back
Top Bottom