Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,520
- 95,071
Wapi umehusishwa?? Halafu hiyo ya upweke umeikomalia!! Lini niliomba faraja yako? Hebu acha kujipa umuhimu kwenye maisha yangu.Najua ni mgumu wa kuelewa, lakini nakueleza tena kwa lugha rahisi nitakujibu endapo nitapoona ujinga wako wowote ambao najua unanihusu, hiyo ndio maana
Kuna muda nakuonea huruma ndio maana nipo very polite, najua hizi mbanga zote ni vile faraja yako ndivyo inavyopatikana kutokana na maisha ya upweke unayoishi