Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,520
- 95,076
Sishangai vijana wa Arusha kuvuta bangi na kuwa rafu ni sehemu ya swaga zenu, hata unavyotetea kwa upande wako uko sahihi.!!Mtaani kijana akiwa mvuta bangi na msela na rafu rafu huwa haishangazi
Lakini binti akiwa mvuta bangi, msela na rafu rafu huwa inashangza
Naamini umenielewa
Ila kwetu sisi km jamii ya watu waliostaarabika lazima tushangae na hii ni kwa wote ke na me.