Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,520
- 95,078
Mashallah uduguu ๐๐Eid Mubarak ๐ซ!
Baibui limepoaaaaa!! Nakuja kula pilau. Coca twende kwa uduguu wetu tukasherekee Idd kubwa ๐๐๐
Mashallah uduguu ๐๐Eid Mubarak ๐ซ!
Muwe mnanishtua mkianza kuchachuana si nimewaambia mi shabiki yenu ๐๐๐Vipi umeamkajee? Umeni mic eeh?
J2 njema!!!
๐๐๐ Si ndio mtafute wote watotoBro ni muda sasa uwe na mke na watoto, umri umeenda..
Mchachue bana ๐๐๐[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee leo cna mood ya kukuchachua, Leo ni sikukuu na pia ni j2 siku ya utulivu na amaniiii.
Tukutaneee keshoo.
Yaani kajileta mwenyewe ๐๐ yaani nyieee๐๐๐๐ Nimecheka wifi
Huyo bff wangu tunaongea pm khs kusali na kufunga novena tu. Ila bff wa miubuyu mwingine
Upo lodgeKitambo sana mbona!!
Takbiiiiiiiiiiiirrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!๐ซ๐ซ๐ซ
Mi nataka nitafute watoto na wewe..๐๐๐ Si ndio mtafute wote watoto
Shem kwa nani?Shem jana ulikuwa wapi? ๐๐๐
Ndo maana unaandika kama mtu mwenye dhambi๐ata sijaenda yani
Toka zako๐๐Ndo maana unaandika kama mtu mwenye dhambi๐
Nimeenda ibadani kwa Nia njema nikakuta harambee ๐๐๐Toka zako๐๐
utaenda tena kwelNimeenda ibadani kwa Nia njema nikakuta harambee ๐๐๐
Mi naendaga hata pawe na niniutaenda tena kwel
unajiharambee naweweMi naendaga hata pawe na nini
Hvo hvo tunaishi nazounajiharambee nawewe
๐๐๐ kajileta bff wangu, na bado wengine watajileta si nimekwambia nna ma bff wengi humu.!! Kaa uwaone watakavyotiririkaYaani kajileta mwenyewe ๐๐ yaani nyieee
Mayai ya kupata watoto sina mwenzio yote viza ๐Mi nataka nitafute watoto na wewe..
Si kwa cocaShem kwa nani?