Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Usijali Mjukuu, kama Wazee tutajitahidi kutoa Elimu Kila Siku 😜

Usitake nikung'ate sikio kukwambia zawadi nilizokuandalia ila jua zipo nyingi kwaajili yako🤗
Babu mi napenda vitu vya kijinga km zawadi ujue 😜
E’m ning’ate sikio
 
Babu mi napenda vitu vya kijinga km zawadi ujue 😜
E’m ning’ate sikio
Omba kwanza ruhusa kwa Mkwe wangu ndiyo uje nikung'ate sikio 🤗

Si unajua tangu asubuhi nipo ndani peke yangu tangu Bibi yako aende shambani 😜
 
Omba kwanza ruhusa kwa Mkwe wangu ndiyo uje nikung'ate sikio 🤗

Si unajua tangu asubuhi nipo ndani peke yangu tangu Bibi yako aende shambani 😜
Sina, nimeachika babu 😂😂😂
Talaka tatu niko eda
 
Sina, nimeachika babu 😂😂😂
Talaka tatu niko eda
Mbona ghafla hivyo Mjukuu 🤗

Na bahati mbaya hujawahi kufundishwa kuhusu mafiga matatu 🙌

Njoo tu Kwa Babu yako nikufariji wakati tunasubiria Posa nyingine Kwa Kijana wa Mzee Sanga 😜
 
Mbona ghafla hivyo Mjukuu 🤗

Na bahati mbaya hujawahi kufundishwa kuhusu mafiga matatu 🙌

Njoo tu Kwa Babu yako nikufariji wakati tunasubiria Posa nyingine Kwa Kijana wa Mzee Sanga 😜
🤣🤣🤣 Itabidi unitafutie kungwi anifundishe mafiga matatu ili nikiachika huku, nabaki na wa kule.!! 😂

Mzee Sanga anahujumiwa sana na binti yake.!! Nakuja babu unihadithie hadithi za sungura na fisi.
 
Back
Top Bottom