Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,849
- 57,527
Omba kwanza ruhusa kwa Mkwe wangu ndiyo uje nikung'ate sikio 🤗Babu mi napenda vitu vya kijinga km zawadi ujue 😜
E’m ning’ate sikio
Si unajua tangu asubuhi nipo ndani peke yangu tangu Bibi yako aende shambani 😜
