Nacheka hapa sina hamu, uliniacha ukaangukia kwa kidney 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tulikuwa tunakuchora tu. Ukifika tu unamtag kumbeee 😆😆😆😆😆😆We we wewe
Namkumbusha ndugu yangu mzee WA hall v kuwa awe makini wakina Inni hawakawii kuingiza MTU mkenge
Kapachino
🤣🤣🤣🤣 Dada hadi wewe?? Usinifanyie hivyo. Kumbe ulikuwa unatuzoom 😂Nani anataka kuumbuka? Kesho tunawakuta babe kibao. Tunawangalia tu, kuumbuka mwisho mwaka jana 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸
😂😂😂 endelea ufike 70mbona nmepunguza sasa,, nilkua nakula balaa, nilkua na 53 kgs uuuuweeeeh mwez wa tano mwishoni naenda nna 58kgs nkaona hii sasa ni serious 😂😂😂😂
Sijajua Ila tulionywa tuwe makini...Kwani aliwafanyaga nini mbona mnamuogopa sana huyo kidney 🤣🤣🤣
Naenjoy endeleeni basi. Mchokoze tena. Mapenzi yanataka hivyo kashikashi, vilio, kununiana, kublock, unblock. Najiona mimi kabisa...🤣🤣🤣🤣 Dada hadi wewe?? Usinifanyie hivyo. Kumbe ulikuwa unatuzoom 😂
Muite kwa sauti, yani leo kanifungia vioo kabisa sijui avatar inamtisha 🤣🤣🤣
Ila huyo mimi sikumkuta aisee.!! Nahisi ningekuwa nashinda nacheka. Naona coca anamsemaga sana 😂😂😂Nacheka hapa sina hamu, uliniacha ukaangukia kwa kidney 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tulikuwa tunakuchora tu. Ukifika tu unamtag kumbeee 😆😆😆😆😆😆
😂😂😂😂😂 na ww ulikuwa muhanga?? E’m sema basiSijajua Ila tulionywa tuwe makini...
Paka Leo wasiwasi upo
Kwakweli hii avatar imenshtua hata Mimi...kila SAA naiangalia isije kuwa I'd moja yenye watu wawiliMuite kwa sauti, yani leo kanifungia vioo kabisa sijui avatar inamtisha 🤣🤣🤣
sjawahi fika toka nizaliwe,,nachukia ubonge😂😂😂😂😂 endelea ufike 70
Kirahisi hivyo niingie mkenge?? Wakongwe hawaingiagi mkenge kirahisi..😂😂😂😂😂 na ww ulikuwa muhanga?? E’m sema basi
Unachukia ubonge?? Inatakiwa uwe na nyama nyama si unajua Raha ya kondoo awe na Mkia na mafuta mafutasjawahi fika toka nizaliwe,,nachukia ubonge😂😂
😂😂😂 Kwani hata namchokozaga basi!! Mwenyewe vikimpanda tyuu ananiibukia.!! Kuna comments akiziona lazima aje awashe moto 🤣🤣🤣Naenjoy endeleeni basi. Mchokoze tena. Mapenzi yanataka hivyo kashikashi, vilio, kununiana, kublock, unblock. Najiona mimi kabisa...
Wala hiyo avatar nimejiwekea tyuu, hahusiani na yeyote kati yetu. Ni ya msanii wangu pendwa kutoka kundi la weusi.Kwakweli hii avatar imenshtua hata Mimi...kila SAA naiangalia isije kuwa I'd moja yenye watu wawili
Sio lazima uwe bonge kote, unajazia mpododo wifi 😂sjawahi fika toka nizaliwe,,nachukia ubonge😂😂
Asante Kwa ufafanuzi.Wala hiyo avatar nimejiwekea tyuu, hahusiani na yeyote kati yetu. Ni ya msanii wangu pendwa kutoka kundi la weusi.
Mpododo ndio nini??Sio lazima uwe bonge kote, unajazia mpododo wifi 😂
😂😂😂 Nipe mbinu na mimi basi, wakongwe mna vitu vingi mnavijua humuKirahisi hivyo niingie mkenge?? Wakongwe hawaingiagi mkenge kirahisi..
MTU kama BL hawezi kunaswa au kunaswa kirahisi
sasa hawa vijana wanaopenda toothpick kama sisi waende wapi?Kwann
Unachukia ubonge?? Inatakiwa uwe na nyama nyama si unajua Raha ya kondoo awe na Mkia na mafuta mafuta