Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,075
- 111,682
Ngoja nikapooze hasira za kukosa mapito naked ya jirani 😂Ww sema ulikuwa unatafuta sababu ya kutaka kulewa jirani 😂😂😂
Ngoja nikapooze hasira za kukosa mapito naked ya jirani 😂Ww sema ulikuwa unatafuta sababu ya kutaka kulewa jirani 😂😂😂
Mwenyejiiiiii nipee lift bas, huhuhuh
Huu Uzi unanikumbusha kitambo hicho wakati unaanza ulikuwa mzuri sana...


sasa si njegeka za uke wenza zikaharibu maana ya uzi, woiiiiiihUzi unafunguliwa na habari cna, wallah nistaafu kuwepo JF sasa.hatimae uzi umefunguliwa.
Haki siku hizi niko nyuma sana na Jf



We ngadu umerudi 😂😂😂sasa si njegeka za uke wenza zikaharibu maana ya uzi, woiiiiiih
Jamani huu Uzi umerudi hauna ile amsha amsha km mwanzo
Mods ,mli inturupt sshv kitakuwa kijiwe Cha story tu![]()




sahivi ni kukumbushana yaliyotokea nyuma. Baaas.Naona unataka coca aninunie dada ake sasa..!!
Last born wetu muache anakupenda sana



huna bayaa dada mkubwaaa, huna ukungu tajiriiii.koh koh koh
Inshort kulikuwa na vurugu za masuria ya Bwana Miongozo na wadada wa sate sauzand na mambo ya wajuba kuibiana wachuchu na kutoleana siri za mcity…!!!
Mara ww umemchukua yule wa kwangu kwann??
Na wengine kujipa maujiko ya kuvua magagulo ya wadada kumbe ni kutaka kujibrand you know
Maneno ishirini bado.??
All in all tulia soon utajionea wadada wakianza kudolishiana mishape na mishimo ya mashavuni![]()




jamani kwann lakini??Kwani uongo??
Humu unazoeleka mpk ukituma picha umesimama vibaya unauulizwa mbona leo hips halionekani..?? Au dimples hatuzioni??
Au mbona km wowowo sio lako.!!! Umejijaradia na kigodoro nini..??![]()





😂😂😂😂 ulifichwa wapi?huna bayaa dada mkubwaaa, huna ukungu tajiriiii.
Afu unayaweza na kuyamudu sasa.