Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ koh koh koh
Inshort kulikuwa na vurugu za masuria ya Bwana Miongozo na wadada wa sate sauzand na mambo ya wajuba kuibiana wachuchu na kutoleana siri za mcityโ€ฆ!!!
Mara ww umemchukua yule wa kwangu kwann??
Na wengine kujipa maujiko ya kuvua magagulo ya wadada kumbe ni kutaka kujibrand you know ๐Ÿ˜Ž
Maneno ishirini bado.?? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

All in all tulia soon utajionea wadada wakianza kudolishiana mishape na mishimo ya mashavuni ๐Ÿ˜œ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
Sasa haya ndo mambo nnayoyapenda kutoka kwako ๐Ÿ˜‚

Tuko pamoja katika kulijenga taifa

Kiswahili inaonekana ulifaulu wewe๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ maneno 20 net hakijaongezeka kitu hakijapungua kitu๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Basi ngoja tuendelee kukaa mkao wa drama๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ
 
Sasa haya ndo mambo nnayoyapenda kutoka kwako ๐Ÿ˜‚

Tuko pamoja katika kulijenga taifa

Kiswahili inaonekana ulifaulu wewe๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ maneno 20 net hakijaongezeka kitu hakijapungua kitu๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Basi ngoja tuendelee kukaa mkao wa drama๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ
Tuko pamoja mpk watuue ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Tuko pamoja mpk watuue ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Naam naam
Notification ya mod ndo imenileta huku aisee

Naona mod kachangia uzi flani sasa nikashangaa kweli uzi una madini gani mpaka mods wanachangia mada ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ngoja nikaonepo nini kipo huko ndo nakutana na mapicha picha

Ila nilipokuona nikasema baaasi hapa hakiharibiki kitu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom