Kumbe ameukwaa na udoktor
Sawa sawa ..
Tatizo ni sisi members tunaharibuHuu Uzi unanikumbusha kitambo hicho wakati unaanza ulikuwa mzuri sana...
Kabisa....Tatizo ni sisi members tunaharibu
Depal sijapenda hata kidogo.š
Wakishirikishaga mapenzi tu wanaharibuKabisa....
Sasa hivi umefunguliwa ngoja tuone tena...
Ila kurudi kama mwanzo naona itakuwa ngumu.
Sichuji[emoji3]Unakagua mzigo...kitu imekolea kiwi...wanasema kiatu kiking'aa na wewe unang'aaa pia
Dah [emoji39] Thanks kwa SELFIKA kufunguliwa[emoji1544][emoji1544][emoji1550][emoji1787]
Sikuwah kujua km hu uzi haupoNaombeni sana tuzingatie taratibu na kanuni za JF kuepusha uzi kufungiwa tena na pengine kufutwa kabisa! Ni mada ya furaha tusiipoteze tena tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
shemejiii
We si ndo unapostig vyakula tunavyoviona kwenye series we unapika kwako daktareDepal sijapenda hata kidogo.š
Vitunguu sawa, ila vyakula alivyotaja spidernyoka nakataa sio mimi!š