Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,431
- 94,829
🤣🤣🤣🤣 da mau ananipa shida mimiNgoja ukutwe unacheka 😅
🤣🤣🤣🤣 da mau ananipa shida mimiNgoja ukutwe unacheka 😅
Sijataja mtu lkn… 🤣🤣🤣🤣Una nn lkn
Imeanza🤣🤣🏃🏃
Sawa ht mi naona ulikuwa unaelezea situation Kwa kifupi🏃🏃Sijataja mtu lkn… 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Hiyo ndo point ya msingi kumbe umenielewa mdogo angu?? Huyo shemejio anataka ukapauke kwa omu 🤣🤣🤣🤣
Wizzy unalo Countrywide mkeka umechanika vibaya
Si utupie picha tuone 🤣🤣🤣Jamani huu Uzi umerudi hauna ile amsha amsha km mwanzo
Mods ,mli inturupt sshv kitakuwa kijiwe Cha story tu😏
😂😂😂😂 Fujo isiyoumizaSawa ht mi naona ulikuwa unaelezea situation Kwa kifupi🏃🏃
Naona kabisa unatafutwa kupigwaSi utupie picha tuone 🤣🤣🤣
Tatizo ss hivi haitanoga wamewazoea si mnakutana nao mcity…!!! Inakuwa hakuna jipyaaaa 🤣🤣🤣
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️ Ila mi ntapigwa mjue
USA 🇺🇸 Babe you know 😎😎Situation 🏃🏃
Jmn tunaomba picha ht za google
🤣Mbavu zanguUSA 🇺🇸 Babe you know 😎😎
Tayana hi 👋
🤣🤣🤣🤣🤣 Kwani uongo??Naona kabisa unatafutwa kupigwa
Sisaidii mtu Mimi🤣🤣🤣
Anabet huyoooo 🤣🤣🤣🤣Mbavu zangu
Halafu mbona umepotea, au ushajua umeshtukiwa😷
😅😷🤪 Mi simo🤗🤣🤣🤣🤣🤣 Kwani uongo??
Humu unazoeleka mpk ukituma picha umesimama vibaya unauulizwa mbona leo hips halionekani..?? Au dimples hatuzioni?? 😂😂😂😂
Au mbona km wowowo sio lako.!!! Umejijaradia na kigodoro nini..?? 😂😂😂
Kumbeee🤣😬Anabet huyoooo 🤣🤣🤣
We tembelea uzi wa kubet utamuona kajaa
Tayana selfika mtu wangu nikuone mamii😅😷🤪 Mi simo🤗
Wewe hapo Aaliyyah na yale mashavu yako dodo😋Mimi huyu au umenifananisha mkuu😀😀
Aah wapi hebu niache mieee🤣Tayana selfika mtu wangu nikuone mamii
Mdogo angu mnjurii njurii mchwitiii wake mimi 😘😘😘
Shem selfika tuone sikisi paki 🤪Wewe hapo Aaliyyah na yale mashavu yako dodo😋
Tuone bhana muda hujatupia mdogoangu ujue 😊Aah wapi hebu niache mieee🤣