cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,240
Mbona hamtupii ni maneno maneno tuu au zile picha mlizokua mnatupia zamani sio zenu???![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()




appetite ya kutuma picha imepotea, sahiv watu wanajadili yaliyotokea nyuma.Mbona hamtupii ni maneno maneno tuu au zile picha mlizokua mnatupia zamani sio zenu???![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()




appetite ya kutuma picha imepotea, sahiv watu wanajadili yaliyotokea nyuma.😂😂😂😂😂 Ntakupasuajamani kwann lakini??
Mbona hamtupii tuwasifie au wix zimekataa ngozi zinagoma ku glow
Wekeni filter buana mpost mi nataka kulala





Nimefika na sikuoni...😒🫂#How.To.Smell.Like.A.Gent #Summer.Collection
View attachment 2912003
Dr Lizzy ukuje kwa ajili ya hug 😊
Nimepitwwaaa woiiiiihUmependa ka picha au umempenda rabbitusniweke moyoni sio wallpaper for phone.
Waione kwenye faili
cocastic, Mahondaw, Tayana-wog, Countrywide
Tupia nione ulivyovaa ili nijue tunaenda wapi 🙂Mwenyejiiiiii nipwle lift bas, huhuhuh
Moyoni nishamuweka Yesu ananitosha, ya duniani yote ni ubatili![]()




khaaaahUmesahau na kumgombania Jack na ulivomuambukiza ukimwi Countiri Shahidikoh koh koh
Inshort kulikuwa na vurugu za masuria ya Bwana Miongozo na wadada wa sate sauzand na mambo ya wajuba kuibiana wachuchu na kutoleana siri za mcity…!!!
Mara ww umemchukua yule wa kwangu kwann??
Na wengine kujipa maujiko ya kuvua magagulo ya wadada kumbe ni kutaka kujibrand you know
Maneno ishirini bado.??
All in all tulia soon utajionea wadada wakianza kudolishiana mishape na mishimo ya mashavuni![]()
Uko kuniua
Bila hata wizzy kusema ni kweli mimi kuna vitu sivipendi na analijua hilo.!
Kwanza humu jf sipendi kujuana na mtu yoyote nje ya jf.! Mambo ya jf yanamalizika humu humu sipendi kujuana sana.!
Siwezi kuwa na wapenzi humu sababu ziko wazi, siwezi kudate na mtu ambaye ana uwezo wa kumiliki idadi nyingi ya IDs na ndiomana pm yangu imejaa wadada na story nyingi ni za umbea
Ww ni mfano mzuri wa mbanga za humu, na ndo uliyetuletea story za sate sauzand, hivi bado ntakuwa mjinga nianze kujuana na watu??
Jf nzuri ukiishi bila kutaka kujuana na watu nje ya jf..! Kujuana naona ni vzr ikiwa ME kwa ME japo wengine walirudi humu wakaanza kupeana kashfa za ushoga.
Kwa sisi KE na KE hapa ndo tatizo tuna unafiki mwingi, imagine issue za pm tunasimangana huyu kasema hivi kwa huyu na yule kaongea vile hapo hatujuani, vipi tukijuana kwa macho ya nyama??
KE na ME hapo ndo siongei watu wengi wamebadili id kwa mambo km hayo, na mengine ww mwenyewe shuhuda na ulituletea hapa mambo yote.!
Ni kweli mimi sio mkamilifu ila sio kwa hapa jf sijawahi hata kuwaza kudate na mtu au watu.




ndo mtafanya uzi ufungwe, na ushoga tena huko ndaniii Cuzoo angu yuko winja winja, yaan yuko




Cuzooo hapoi wala haboi,Wewe
Cuzo kitu cha maruni
Jamani valentine inakuja kivingine
B@cocastic umemuona cuzo![]()




Wee cazee em sema kweliii,Nitaftie huyo mtoto wa shangaz ukimuona na umpeleke kando kidogo na umwambie nmem miss ile kisana





Coca si angemsaidia shemeji kumpiga picha, huumii huo mkono huku unaweka pozi??![]()




mbna mabwakuuuuNgadu tena🤣🤣We ngadu umerudi 😂😂😂
Nilikumiss ulipotelea wapi uduguu
Na kutuma hadi video kutangaza soko la viunoo viuno. Kweli watu kwa picha wamekosa soko.Kwani uongo??
Humu unazoeleka mpk ukituma picha umesimama vibaya unauulizwa mbona leo hips halionekani..?? Au dimples hatuzioni??
Au mbona km wowowo sio lako.!!! Umejijaradia na kigodoro nini..??![]()
Kijamii siishi peke yangu naishi na watu Bt kimaisha bado niko peke yangu.



cuzoo una nn wee lakini?Sawa shemeji nimekuelewa pole sana.!!
Ntamwambia coca aje muishi wote akuondolee upweke![]()




kwann wee mkorofi sanaaa?