[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] koh koh koh
Inshort kulikuwa na vurugu za masuria ya Bwana Miongozo na wadada wa sate sauzand na mambo ya wajuba kuibiana wachuchu na kutoleana siri za mcity…!!!
Mara ww umemchukua yule wa kwangu kwann??
Na wengine kujipa maujiko ya kuvua magagulo ya wadada kumbe ni kutaka kujibrand you know [emoji41]
Maneno ishirini bado.?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
All in all tulia soon utajionea wadada wakianza kudolishiana mishape na mishimo ya mashavuni [emoji12][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]