Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,291
- 95,608
HahahahahaAah wapi
😅
HahahahahaAah wapi
😅
😅 Thubutu naanzaje Kwa mfano..Ww kwanza una kesi jana hujalala nyumbani.!! Mulasil kasema ulikuwa kwake unajipikilisha na kujifulisha km vile ushaolewa tyr kwann unashusha brand ya familia..?? 🤣🤣🤣🤣
Rudi darasani kijana
Ongezeni picha wakuu mnaharibu uzi😅Mnashevia mapanga alafu mnataka kujipa utoto.!!!
Shika yako 🤣🤣🤣🤣
Marhaba mjukuu wanguShikamooni wakuu
Anza wewe kwanza 😅Ongezeni picha wakuu mnaharibu uzi😅
Wanashevia fyekeo🤣🤣🤣Mnashevia mapanga alafu mnataka kujipa utoto.!!!
Shika yako 🤣🤣🤣🤣
Hahahahaha kapitwq imekula kwakeUmepitwa
Tresor Mandala njoo msimulie
Sema ile ya selfika umevaa pink ilikua moto sanaAah wapi
😅
😂😂😂😂 koh koh kohShikamoo mdada 😁😁😁
Kuna sichuaeshen ilitokea huu uzi unaweza kutoa A to Z kwa maneno yasiyozidi 20😁😁
Nimekuquote wewe maana nafahamu hii ndo sekta yako adhimu😁😁
🤣🤣🤣🤣 Wii niacheWanashevia fyekeo🤣🤣🤣
Hahahahaha😂😂😂😂 koh koh koh
Inshort kulikuwa na vurugu za masuria ya Bwana Miongozo na wadada wa sate sauzand na mambo ya wajuba kuibiana wachuchu na kutoleana siri za mcity…!!!
Mara ww umemchukua yule wa kwangu kwann??
Na wengine kujipa maujiko ya kuvua magagulo ya wadada kumbe ni kutaka kujibrand you know 😎
Maneno ishirini bado.?? 😂😂😂😂
All in all tulia soon utajionea wadada wakianza kudolishiana mishape na mishimo ya mashavuni 😜🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Hajui kwenda na muda 😀Hahahahaha kapitwq imekula kwake
Hahahahahaha atajifunzaHajui kwenda na muda 😀
Nimeambiwa kwa ufupi 🤣🤣🤣Hahahahaha
Nimemisi kukuona Aaliyyah Binti mstaarabuMarhaba mjukuu wangu
Khaaaa🙄🙄Sema ile ya selfika umevaa pink ilikua moto sana
Ngoja ukutwe unacheka 😅Nimeambiwa kwa ufupi 🤣🤣🤣
Una nn lkn😂😂😂😂 koh koh koh
Inshort kulikuwa na vurugu za masuria ya Bwana Miongozo na wadada wa sate sauzand na mambo ya wajuba kuibiana wachuchu na kutoleana siri za mcity…!!!
Mara ww umemchukua yule wa kwangu kwann??
Na wengine kujipa maujiko ya kuvua magagulo ya wadada kumbe ni kutaka kujibrand you know 😎
Maneno ishirini bado.?? 😂😂😂😂
All in all tulia soon utajionea wadada wakianza kudolishiana mishape na mishimo ya mashavuni 😜🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Hiyo ndo point ya msingi kumbe umenielewa mdogo angu?? Huyo shemejio anataka ukapauke kwa omu 🤣🤣🤣🤣Kwann Shem🤣
Kwanza omu Hana hela ,dada kasema niangalie hela
Mimi huyu au umenifananisha mkuu😀😀Nimemisi kukuona Aaliyyah Binti mstaarabu