YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Selfika ilikuwa poa I'd mpyaaa ndio mekuja iharibu na kuwa kijiwe cha misuto.
Me id yangu sio mpya sema mitaa hii nilikua sikatizi nipo toka 2015 upo?? Nilikuwa nashinda kwa lala 1 na kina hearly, heaven sent wengine nishawasahau mana niliitelekeza jf kwa muda