YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,154
- 36,361
Huyo dogo niliwaambia hapa, watu wakawa wanamuogopa kumchana. Nimemchana naona kasepa mazima Ila kaacha damage
Depal hata simjui vizuri anafananaje, same na darlin.
Haya maelezo bado hayajaniingia emu njoo kwa mara nyingine nikusikie tena





