YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Mchuchu nakusalimia!
Leo nimepoooaaa sina baya, hiyo mchuchu usifanye nikawekwa pdf la kufungia mwaka bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mchuchu nakusalimia!
Acha tu vijana wajifurahishe, ukitaka kuwaelewa haraka wasome taratibuAah!! Umefika hatimaye? Haya bwana wewe cha kunidanganya kila siku unanipenda kumbe una mademu wengine na umeniacha mwenyewe sina taarifa?? Emu nipe maelezo ya kutosha nielewe mana ulisema niko peke yangu??!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itabidi uirudishe ya sophyNimecheka sana yaani 😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka balaa
Watatuua
Aah wapiItabidi uirudishe ya sophy
Nipe summary Basi ndo nimefika home hapa.
Nimetingwa kidogo uduguuu utanisevia mengine ntayakuta Kesho usiyafute uduguuu!! Ngoja nizime data kabesaaaa!!Ndugu yangu kuna mpya gani? Mana nilitoka kwa muda
Vizuri Sana.Leo nimepoooaaa sina baya, hiyo mchuchu usifanye nikawekwa pdf la kufungia mwaka bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mnyawaniNimetingwa kidogo uduguuu utanisevia mengine ntayakuta Kesho usiyafute uduguuu!! Ngoja nizime data kabesaaaa!!
Muwe na Usiku mwema wapendwaaaa!!
Shushenj hayo ma vitu,jamani khaa,
😂😂😂Hilo litakuwa la nne Kwa mwaka huu mie nanyweaga pepsi tu natuliaKufa hufi ila cha moto utakiona tena hapo kuna alphabet nyingine nimezipotezea ni kivumbi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani uko pm wanavyonishikilia nisiseme nyieee
Nikitulia ntakupigia video call unipe summary siwezi Rudi nyumaAah wapi
Mambo ni mengi kwakweli
Acha tu vijana wajifurahishe, ukitaka kuwaelewa haraka wasome taratibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tenaaaa? Sirudii kamweeHee
Kamekesha kumbe !
Inabidi tukarudishe chuo[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hilo litakuwa la nne Kwa mwaka huu mie nanyweaga pepsi tu natulia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwaniii bado vochaa hajakupaa? Hebu I4wadiii kwangu chap kwa fastaaa.Umenifundisha umbea nimeanza kufukuzia nyendo zako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila usinipopoe tu
Ukinipopoa vocha ya Cute Wife sikupi[emoji125][emoji125][emoji125]
Kamefika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tenaaaa? Sirudii kamwee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada kweli wee uko hapa JF na humjui Kidney?Figo ini ni akina nani?
Umbea unanipita nipo hapahapa
Si wewe ndiyo wanguVipi mlongo,haujakabiziwa pisi humu[emoji23][emoji23]