Sema ni kama tumeshazoea ni bora kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli..na muda mwingine unajua kuwa husband/Boyfriend amechepuka na labda hata text uliona ila akisema sio kweli tunaridhika na maisha yanaendelea akisema ukweli mfano "ndio nimechepuka na sophy tena sijui kwanini sikumuona mapema kabla yako" unadhani itakuwaje?.hebu pima mauimivu ya uongo na maumivu ya ukweli yapi yanauma